huyu ndio staring mwenyewe aliyechonga mchongo wote na kumshawishi huyu mwanamke kutumia jkitambuluisho chake kufanyia wizi huo wa kimtandao |
mrembo akijitetea kuwa hahusiki kabisa katika wizi huu na pia kujitetea kuwa kaacha mtoto mdogo nyumbani |
hapa akitoa maelezo kuwa yeye si mwizi na hwafahamu kabisa wahusika wenzaqke na yeye ni mfanyabiashara wa vipodozi |
watuhumiwa wenzake wakificha sura zao huku wakitoa maelezo kwa wafanyakazi wa tigo na walinzi waliowatia chini ya ulinzi baaada ya kuweka mtego mzuri wa kuyanasa mataperli haya ya kimtandao |
aliyesimama hapo yeye aliibiwa kiasi cha milioni moja kwa njia ya sim banking ya NMB baada ya line kuharibika ghafla kumbe mmoja wa watuhumiwa alirenew na kuiba pesa |
hapa mtuhumiiwa mmoja akiwan kajilaza chini kwa kugoma kutoa maelezo kwa walinzi waliowaweka chini ya ulinzi |
hapa huyu binti akilia kwa uchungu na kuomba asamehewe |
wakiwa ndani ya gari ya polisi kuelekea kituo cha polisi buguruni |
Askari polisi wakisikiliza kwa makini jinsi watuhumiwa hao walivyokamatwa CHANZO: MWAHARAKATI MZALENDO |
No comments:
Post a Comment