Wednesday 18 September 2013

OMMY DIMPOZ AWASILI MAREKANI NA KUPOKELEWA NA WENYEJI WAKE

Hizi ni picha za Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz baada ya kuwasili Marekani jana na kupokelewa na wenyeji wake.
Ommy-1
Ommy Dimpoz anatarajiwa kufanya show ya kwanza Jumamosi ya wiki hii Washington DC, itakayofuatiwa na show ya pili Houston September 28 na show ya tatu Los Angeles October 5 kisha atarejea Tanzania kwaajili ya fainali ya Serengeti Fiesta.
Ommy-2

Ommy-3


Ommy-4


Ommy-5
Ommy Dimpoz na wenyeji mbele ya Hilton Hotel alipofikia

CHAZO: Bongo5

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...