

Polisik (mwenye bunduki), akiwa amembeba mtoto kwa usalama







Majeruhi wakifikishwa katika hospitali ya Aga khan jijini Nairobi

Mlinzi akimsaidia majeruhi wa kike kutoka Westgate Mall in Nairobi, Kenya

Timu ya uokoaji wakiwa wamembeba mwanamke waliemwokoa akiwa amezimia



![]() |
| Polisi akiwa ameokoa mtoto,sijui wazazi wake wapo salama...? PHOTO CREDIT: AP |

No comments:
Post a Comment