Tuesday 3 September 2013

ROGER FEDERER ATOLEWA NJE NA TOMMY ROBREDO KATIKA MASHINDANO YA WAZI YA TENISI YA MAREKANI


US Open 2013: Roger Federer knocked out in striaght sets by Spain's Tommy Robredo

Matumaini ya Roger Federer kushinda kombe la 6 la mchezo wa wazi wa tenisi marekani yamekatishwa na Mhispania Tommy Robredo.
Tommy Robredo alimwadhibu Roger Federer kwa 7-6 (7-3) 6-3 6-4 katika uwanja wa  Louis Armstrong.
Hii ni mara ya kwanza kwa Roger Federer kushindwa kufikia fainali za grand slam toka mwaka 2002.
Kwa upande wake Tommy Robredo amesema Roger ni mchezaji bora hivyo kumfunga katika mashindano makubwa kama US Open katika  mechi ya seti tano, ni kama ndoto.

CHANZO: BBC

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...