THE BEDROOM: JINSI YA KUPANGILIA RANGI ZA MASHUKA KITANDANI KWAKO
Wadau,unapotandika kitanda si kuweka tu mashuka kama wajibu la hasha.Inabidi uzingatie rangi za mashuka yako pamoja na bed covers.Inapendeza vilevile kama utazingatia rangi katika kuta za chumba chako hasa kwa wale walio na rangi nyingine zaidi ya rangi nyeupe. TEMBELEA PICHA ZIFUATAZO KUONA MAWAZO TOFAUTI
No comments:
Post a Comment