Wasanii ambao walijiunga na Mtandao wa Wasanii Tanzania ‘SHIWATA’ juzi Jumamosi walikabidhiwa nyumba zao ambazo walizichangia katika kipindi cha miaka miwili iliyopita katika kijiji cha Mwanzige wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani. Mwenyekiti wa ‘SHIWATA’, Kassim Twalib Kassim aliwakabidhi wasanii wapatao 38 nyumba pamoja na vyeti vyao ambapo kuna wengine tayari walishahamia.
(STORI NA PICHA: IMELDA MTEMA / GPL)
No comments:
Post a Comment