Thursday 31 October 2013

ASO EBI KUTOKA NIGERIA,WANAPENDEZA JAMANI!

Nguo za Wanaijeria ni simple ila zinashonwa kwa kutumia ubunifu mkubwa na kila anayevaa anapendeza kwa kweli. Wana nguo maalum za kuvaa katika sherehe mbalimbali kama kwenye "engagement party", arusi ya kimila n.k. Ni vizuri kuwa na utamaduni wenu kwani huo ndiyo utambulisho wa wapi umetoka!Big up kwa Wanaija!














No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...