Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha na Balozi wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Alfonso Lenhardt na mke wake walipofika Ikulu kuaga na kumshukuru Rais na serikali yake kwa ushirikiano alioupata katika kipindi chake cha ubalozi hapa nchini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuaga mke wa Balozi wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Alfonso Lenhardt walipofika Ikulu kuaga na kumshukuru Rais na serikali yake kwa ushirikiano alioupata katika kipindi chake cha ubalozi hapa nchini. Mama Salma Kikwete alikuwepo pia katika kuwaaga wanadiplomasia hawa.
CHANZO: Handeni yetu
No comments:
Post a Comment