Friday, 18 October 2013
JINSI YA KUPANGA MEZA KABLA YA CHAKULA
Mdau unajua kupanga meza "kizungu"? Wengi hatufahamu kuwa visu vya chakula vya aina ngapi na vinatakiwa kukaa upande gani,glasi ya maji iwe wapi,glasi ya mvinyo iwe wapi, n.k.Angalia maelekezo hapo chini kwa kufuatilia video na picha chini ya video.Ni nzuri kwa yeyote anayetaka kujifunza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment