Tuesday 15 October 2013

KWA WALE WA DAR: MWALIKO KUTOKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA MWANDALIWA KILICHOPO MBWENI DAR E SALAAM OKT 16 2013



Kama mwaliko unavyoonekana wadau,kwa yeyote anayeweza anakaribishwa kujumuika katika chakula cha mchana na watoto wanaoishi katika kituo  cha Mwandaliwa kilichopo Mbweni Mpiji-Dar.Hii ni katika kusherehekea sikukuu ya Eid hapo kesho.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Mrs Florence Mndolwa-Ndunguru at 0784 891 366 or email: florence.mndolwa@gmail.com



MUDA: Saa 6 mchana- Saa 10 jioni

MAELEKEZO: Ukifika Mbweni kupitia New Bagamoyo Rd,kituo cha Oil com kiwe mkono wako wa kushoto,ingia kulia ukifuata kibao kinachoelekea hospitali ya Mbweni,fuata barabara ya lami mpaka utakapoona kibao kilichoandikwa MWANDALIWA Orphanage Centre mkono wako wa kushoto.
Kwa kusoma habari yote vizuri ingiahttp://www.mwandaliwa.org

"Msaada na uwepo wako  BABA na MAMA ndiyo mafanikio yetu"
Event Schedule:
MudaTukioMhusika
06:00 mchanaWageni kuwasiliMC
06:30 mchanaMgeni rasmi kuwasili na kukaribishwa na ngoma ya watoto wa MwandaliwaMC
06:45 mchanaUtambulishoMC
06:55 mchanaKumkaribisha Mgeni rasmi na wageni wote kwa chakula MC
07:00 mchanaKula chakula na kutumbuizwa na nyimbo za watoto wa MwandaliwaMC
08:00 mchanaNeno la shukrani kwa Mgeni rasmi, Historia fupi ya Bi Halima na kituo, lengo la sikuKwa niaba ya Mwandaliwa na  marafiki wa Mwandaliwa
08:15 mchanaBi Halima kutoa neno la shukrani na kumkaribbisha Mgeni rasmiBi Halima
08:30 mchanaNeno kutoka kwa Mgeni rasmiMgeni Rasmi
08:45 mchanaLengo la fundraising na kuanza fundraisingMC
09:15 alasiriKutumbuizwa na watoto wa MwandaliwaWatoto wa Mwandaliwa
09:40 alasiriNeno la shukraniKumkaribisha Mgeni rasmi na wageni wote kwa chakula
09:45 alasiriNeno kutoa kwa Mgeni rasmiMgeni Rasmi
09:50 alasiriKumuaga Mgeni RasmiMC
10:00 alasiriKuwaaga wageni na mwisho wa tukioMC

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...