Hapa Sweden kwasasa, vitu vingi kwaajili ya kupamba nyumba kuadhimisha sikukuu ya krismasi vimeanza kuuzwa.Familia nyingi hupenda kubadilisha nyumba zao na kuzipa mandhari ya krismasi hivyo basi, kuanzia sasa mpaka krismasi ,blogu hii itakuwa inakuletea vionjo/mapambo mbalimbali yatumikayo hapa kwaajili ya kusherehekea sikukuu ya krismasi.Endelea kufuatilia hapa ili uweze kufahamu mengi!Angalia aina tofauti za mapazia kwaajili ya krismasi.








No comments:
Post a Comment