Saturday 12 October 2013

MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA “DAWATI NI ELIMU” LEO

Matembezi ya hisani ya dawati ni elimu - CopyMke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa wakati akishiriki matembezi ya hisani katika kuchangisha fedha kwa ajili ya mpango wa Dawati ni Elimu yaliofanika leo jijini Dar es salaam na kushorikisha wadau mbalimbali katika masuala ya Elimu hapa  Matembezi hayo yakipitia mtaa wa  Ohio jini Dar es salaam, wanne kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond MushiMatembezi ya hisani ya dawati ni elimu ikianza uwanja wa mnazi mmoja tarehe 12 ocktobaMatembezi ya hisani ya Dawati ni elimu yakianza uwanja wa Mnazi mmoja leo 12 Ocktoba.Mgeni rasmi mama salma kikwete akifurahia zawadi yake - CopyMgeni rasmi Mama Salma Kikwete akifurahia zawadi yake yake aliyokabidhiwa na Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa mara baada ya matembezi hayo.Mgeni rasmi Mama salma Kikwete akisisitisha umuhimu wa elimuMgeni rasmi Mama Salma Kikwete akisisitisha umuhimu wa elimu wakati akizungumza na washiriki wa matembezi hayo mara baada ya kumalizika jijini Dar es salaam leo.


Mgeni rasmi Mama salma kikwete na mstahiki meya wakifanya mazoezi ya viungo na wanafunzi kabla ya matembezi ya hisani ya dawati ni elimuMazoezi kabla ya matembezi ya hisani ya Dawati ni ElimuMstahiki meya Jerry silaa akimkabidhi zawadi Mgeni rasmi mama Salma KikweteMama Salma Kikwete akipokea zawadi yake kutoka kwa Jerry Silaa Meya wa Manispaa ya Ilala leo mara baada ya kushiriki matembezi ya Dawati ni Elimu yaliyofanyika jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...