
Baraka Obama enzi ya utoto wake,akiwa na mama yake Ann Dunham


Barack Obama(wa tatu kushoto waliosimama mstari wa nyuma), akiwa na wanafunzi wenzake

Barack Obama akiwa nawachezaji wenzake wa mpira wa kikapu

Barack Obama akiwa na bibi yake nchini Kenya

Barack Obama na Michelle, siku ya arusi yao

Barack Obama na ndugu zake wa Kenya
![]() |
Michelle and Barack Obama on Democratic National Convention July 27, 2004![]() Barack Obama Nna Michelle wakiwa nchini Kenya mwaka 2006 ![]() Barack Obama,rais wa Marekani! Kwa kuangalia safari a Barack Obama kimaisha inatakiwa usikate tamaa,kwani unaweza kuwa mtu yeyote duniani kama una nia thabiti.CHUKUA HATUA! |
No comments:
Post a Comment