Sunday, 6 October 2013
PICHA YA SIKU: RAIS DKT. KIKWETE ATETA NA MTOTO WA KIMASAI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakizungumza na mtoto kutoka jamii ya wafugaji wa kimasai Annette Mtambo muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji jana. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani (Picha na Freddy Maro)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment