Tuesday 29 October 2013

PICHA:NAKAAYA AMWONESHA MWANAE ‘KAI’ KWA MARA YA KWANZA


Mwimbaji wa ‘Mr Politician’ Nakaaya Sumari is now a mom, baada ya kujifungua mtoto wa kiume (October 5) Nakaaya amemtambulisha kwa ulimwengu mwanae aitwaye ‘KAI SAMUEL’ kwa kushare picha zake kupitia Instagram.

Kai1
Mtoto wa Nakaaya aitwaye ‘Kai’

Nakaaya alisindikiza picha hizo na ujumbe huu,
Im blessed to be your mother. You are the most beautiful person i have ever seen son. Mungu wetu akuinue na damu ya Yesu kristo wa Nazareth ikufunike. In Jesus name. Nakupenda sana mwanangu mzuri”.
Kai2



kai3
Kai4

CHANZO: Bongo5

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...