Wengi tuna mashuka mazuri ila tuashindwa jinsi gani tunaweza kutandika vitanda vyetu vikapendeza. Ili kufanya kitanda kipendeze ni vizuri (si lazima) ukawa na mito mingi ya ukubwa tofauti kwani utandikaji mzuri unaenda sambamba na kutandika katika muundo(pattern) tofauti. Kwa kuelewa zaidi fuatilia picha zifuatazo:
Kama wewe ni mpenzi wa madhari nzuri ya nyumba,endelea kutembelea hapa kwa kupata mwangaza zaidi jinsi gani unaweza kupendezesha chumba chako na nyumba yako kwa ujumla.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment