AINA ZA BRASHI KWAAJILI YA MAKE UP NA UTUMIAJI WAKE
Mdau usitumie mkono kupaka make up,tumia brashi maalum zilizotengenezwa kwaajili ya kazi hiyo. Kwa kukusaidia angalia picha zifuatazo hapa chini. Nitawaletea picha zenye maelezo siku zijazo hivyo usiache kutembelea hapa.
No comments:
Post a Comment