Kuna wanawake wengi hupenda kuvaa nguo za aina fulani lakini hushindwa kutokana na kuwa na tumbo kubwa. Msikate tamaa kwani unaweza kuvaa nguo uipendayo kama utabana tumbo lako kwa kuvaa corset.Kuna aina tofauti ya corset hiyvo unaweza kuchagua kulingana na matakwa yako. Angalia baadhi ya picha zifuatazo:
No comments:
Post a Comment