Moja ya majengo ya kale yaliyo mjini Tanga.Majengo kama haya hayahitaji kubomolewa bali kukarabatiwa kwaajili ya utalii
Mtaa iliyopo Blue room tea house.Kwa wale
wa Tanga wanaifahamu
Jengo la bandari,Tanga
Barabara inayoelekea Tanga Beach Resort
PICHA kwa hisani ya rainbow blog safarini Tanga
No comments:
Post a Comment