Tukiendelea na ile safu yetu ya mapambo ya aina mbalimbali kwaajili ya sikukuu ya krismasi leo tuangalie aina za miti a krismasi na upambaji wake. Miti ya krismasi ipo ya aina tofauti. Kuna miti mikubwa ambayo unaweza kuisimamisha kwenye sakafu na midogo ambayo unaweza kuweka mezani. Hapa uchaguzi ni wako. |
Mti wa krismasi wa kuweka juu ya meza.Si lazima kupamba mti mkubwa,unaweza kuwa na mti wa aina hii na angalia ulivyopendeza
|
Mti huu nao ni wa mezani |
No comments:
Post a Comment