Wednesday, 25 December 2013

ELIZABETH GUPTA NA MUMEWE PAM (MSHINDI BBA4) WAFUNGUA MGAHAWA NIGERIA UITWAO‘GUPSY´S DELIGHT

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa msimu wa 4 (Revolution) Elizabeth Gupta na mumewe Kevin Chuwang Pam (mshindi wa BBA4) wamefungua mgahawa wao nchini Nigeria.
KevinandElizabethfam_5
Mgahawa huo uitwao ‘Gupsy’s Delight’ upo jijini Lagos, Nigeria ambako Liz na Pam wanaishi. Kupitia Instagram, Gupta ameonesha picha za mgahawa huo.
067033966bd811e3b7d2127ea6e65569_8



659f90a2623f11e3934012c4bd0d2158_7

9ab2710e6cb411e3ae51126993c4de79_8
Kwa sasa mastaa hao wana familia ya watoto wawili.
elizabeth and kevin

CHANZO: Bongo 5

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...