
Maeneo ya ferry Dar


Samaki fresh kabisa kutoka baharini katika soko la ferry Dar es salaam!Wengine tunakula samaki waliokaa katika majokofu sijui kwa muda gani.
PICHA kwa hisani ya kamera ya rainbow ndani ya Dar
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment