Wengi tunapenda kupendeza ila kazi ni jinsi ya kupangilia mavazi. Upangiliaji wa mavazi huzingatia mavazi yenyewe, viatu, mkoba(kama utahitaji kubeba) na mapambo kama hereni, bangili, mkufu/ ushanga. Unaweza kuvaa mavazi na mapambo ya thamani ndogo na ukaonekana nadhifu kweli kutokana na jinsi ulivyopangilia na unaweza ukavaa mavazi ya gharama bila ya kuwa na mpangilio mzuri ukaonekana kituko.Angalia baadhi ya picha zifuatazo zikionyesha mpangilio mzuri unavyotakiwa kuwa. Evening combination
No comments:
Post a Comment