

Hakuna kuumiza kichwa,umepata wageni na nyumba ni ndogo ila una sofa beds sebuleni kwako fanya kama picha hii inavyoonyesha. Mchana mnakaa sebuleni kama kawaida na usiku makochi yanageuka vitanda na watu wanalala.Ila usiwazoeshe wageni maana wengine watahamia wasijue kuwa hii inatakiwa kuwa ni dharura tu!Maana kuna wakina "Yahaya" ambao hawajulikani maskani yao ni wapi!


No comments:
Post a Comment