MAISHA NI NYUMBA: ANGALIA DESIGNS TOFAUTI ZA NYUMBA
Linapokuja swala la kujenga nyumba kila mtu anakuwa na matakwa yake kulingana na uwezo aliokuwa nao kifedha na mahitaji halisi. Kama una uwezo mkubwa kifedha lakini huna familia kubwa si wazo zuri kujenga nyumba kubwa sana kwani itakupa kazi ya ziada katika uangalizi. Vilevile kama huna uwezo mkubwa kifedha usijenge nyumba kubwa kwani itakuchukua muda mrefu sana kukamilisha ujenzi au itajengwa chini ya kiwango.
No comments:
Post a Comment