
Nelson Mandela akiwa na aliyekuwa rais wa kwanza wa Tanzania mwl Julius Nyerere na mkewe Maria Nyerere

Nelson Mandela akiwa na waliokuwa marais (nchi zao katika mabano) Pierre Buyoya ( Brundi), Daniel Arap Moi(Kenya) na Muammar Gadaffi( Libya)

Nelson Mandela akiwa na aliyekuwa rais wa kwanza wa Zambia,Kenneth Kaunda

Nelson Mandela na rais Robert Mugabe wa Zimbabwe

Nelson Mandela akiwa na katibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Ban Kimoon

Nelson Mandela na rais wa zamani wa Cuba, fidel Castro

Nelson Mandela na rais wa zamani wa Marekani, George Bush Jr

Nelson Mandela akiwa na malkia Elizabeth wa Uingereza

Nelson Mandela akiwa na Donald Cameron wa Uingereza

Nelson Mandela akiwa na aliyewahi kuwa rais wa Ufaransa Nicholas Sarkozy na mkewe Carla Bruni

Nelson Mandela akiwa na aliyewahi kuwa rais wa Marekani, Jimmy Carter

Nelson Mandela akiwa na aliyewahi kuwa rais wa Marekani, Bill Clinton

Nelson Mandela na rais wa Israel,Shimon Peres

Nelson Mandela na kiongozi wa Palestina Yasser Arafat
No comments:
Post a Comment