Tuesday 24 December 2013

RAINBOW -TZ BLOG INAWATAKIA WOTE KRISMASI NJEMA!


Rainbow-tz blog inawatakia wadau wote heri katika sikukuu hii ya krismasi. Tusherehekee sikukuu hii kwa upendo na amani huku tukishirikiana na wale wasiojaliwa kwa namna moja au nyingine.Tunaposherehekea sikukuu hii tufanye kila kitu kwa kiasi ili kujiepusha na majanga.Kwa wale madereva tafadhali usinywe na kuendesha chombo cha moto(iwe ni gari au pikipiki).
MERRY CHRISTMAS TO YOU ALL!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...