

Msafara uliobeba mwili wa Nelson Mandela ukielekea Ikulu iliyopo katika majengo ya umoja

Maofisa wa jeshi wakiliingiza jeneza lililobeba mwili wa Nelson Mandela katika majengo ya umoja mjini Pretoria tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho

Rais Jacob Zuma akifuatiwa na mjane wa Nelson Mandela, Graca Machel

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe akipita kutoa heshima zake za mwisho kwa Nelson Mandela

Aliyekuwa rais wa mwisho wa utawala wa arpatheid Fredrick de Klerk na mkewe,wakitoa heshima zao kwa Nelson Mandela

Mwanamitindo Naomi Campbell akitoa heshima zake za mwisho kwa Nelson Mandela

Mwimbaji wa kundi la U2, Bono (wa pili kushoto) na mkewe Alison Hewson

Jengo la umoja ambapo jeneza lililo na mwili wa Nelson Mandela liliwekwa

Wananchi wakiwa wamejipanga katika mitaa mbalimbali ya Pretoria ambayo msafara uliobeba jeneza la Nelson Mandela ulipita

Rais wa mstaafu wa Afrika ya kusini Thabo Mbeki akipita kutoa heshima zake kwa Nelson Mandela

Wananchi wakiwa wamepanga mstaari kusubiri zamu zao kutoa heshima zao kwa Nelson Mandela
No comments:
Post a Comment