
Mwigizaji kutoka Nigeria,Omotola Jalade Ekeinde maarufu kama " Omosexy", amekuja na single yake mpya kwa jina " barren land".
Single hii inapatikana katika albamu yake mpya iitwayo Me, Myself and Eyes.
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment