Sunday 26 January 2014

STANISLAS WAWRINKA ATWAA KOMBE LA MASHINDANO YA WAZI YA TENISI YA AUSTRALIA 2014

Stanislas Wawrinka
 Stanislas Wawrinka ametwaa kombe la mashindano wa wazi Australia 2014 baada ya kumshinda mchezaji namba moja wa tenisi duniani Fafael Nadal, jijini Melbourne,Australia.Katika mchezo huo Rafa kama anavyoitwa na wengi,alipata majeraha ya mgongo yaliyomfanya kucheza chini ya kiwango.
Wawrinka alimshinda Rafa kwa 6-3 6-2 3-6 6-3.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...