Wednesday 26 February 2014

UNAUJUA MLONGE(Moringa oleifera) NA FAIDA ZAKE?

Unga wa majani ya Mlonge ambao ni lishe, tiba na kinga hutibu magonjwa kama shinikizo la damu, kupooza viungo au kufa ganzi, homa ya matumbo(typhoid), kuwashwa mwili,vidonda vya tumbo, malaria sugu, hernia (ngiri), upele n.k.
Mbegu za Mlonge hutibu Malaria, Saratani ya tumbo, hupungusa sonona stress, huleta hamu ya kunywa maji,huongeza kinga ya mwili CD4s. (Tumia mbegu 3x3 muhimu kila ukitafuna mbegu tatu kumbuka kutumia maji glass 3 au zaidi).
Maganda(magome) ya Mlonge husaidia kusafisha maji(water treatment).


Mizizi hutumika kutibu watu walio na malaria sugu au watu wanaopata homa ya usiku au wanaotiririka sana jasho wakati wa homa. Mizizi hutumika kwa kusaga unga wake na kutumia kijiko cha chai mara tatu kwa siku.



File:Sonjna (Moringa oleifera) at Jayanti, Duars, West Bengal W IMG 5249.jpg
Majani na maua ya mlonge yanavyoonekana
File:Starr 070207-4336 Moringa oleifera.jpg
Mlonge na matunda yake yaliyokauka

File:MoringaLeavesBaguio.jpg
Majani ya mlonge yakiuzwa sokoni

1 comment:

  1. safi sana nimependa maelezo yake......ningependa kujua zaidi juu ya maua yake

    ReplyDelete

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...