Wednesday, 5 March 2014

JE,UNAWAFAHAMU WAZAZI WA MSHINDI WA TUZO YA OSCAR 2014 LUPITA NYONG'O?ANGALIA PICHA.


Profesa Peter Anyang' Nyong'o,seneta wa Kisumu,Kenya

Dorothy & Peter Anyang' Nyong'o, baba na mama yake Lupita

Dorothy Nyong'o (L-R) Dorothy Nyong'o, actress Lupita Nyong'o, winner of Best Performance by an Actress in a Supporting Role and Peter Anyang' Nyong'o backstage during the Oscars held at Dolby Theatre on March 2, 2014 in Hollywood, California.
Lupita akiwa na wazazi wake,Dorothy & Peter Anyang' Nyong'o

Lupita akiwa na baba yake Peter  Anyang' Nyong'o baada ya kunyakua tuzo ya Oscar
Dorothy Nyong'o, mama yake Lupita,akimpongeza mwanae baada ya kunyakua tuzo

Lupita Nyong'o


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...