
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.










No comments:
Post a Comment