
Soko la Uzunguni.Hivi kwanini linaitwa hivi?

Stesheni ya garimoshi Tanga.Hivi usafiri huu ndiyo kwaheri?

Klabu ya La casa Chica. Unajua maana ya neno la casa chica?Maana yake ni binti wa nyumbani.

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment