Hakika hii itawaongezea wengi uwezo katika kufunga kamba za raba.Wengi wetu tunaweza kufunga aina moja au mbili kati ya aina hizo hapo juu! |
Wednesday 30 April 2014
HII ITAWASAIDIA WENGI: JINSI YA KUFUNGA KAMBA ZA RABA
LEO NI SIKU YA MKESHA WA WALPURGIS KATIKA BAADHI YA NCHI ULAYA
Leo ni siku ya mkesha wa Walpurgis au "valborg" kama ijulikanavyo hapa nchini Sweden. Walpurgis inatokana na jina la mwanamke Walpurga aliyekuwa mmisionari. Sherehe za "valborg" huambatana na uwashaji moto mkubwa kama kuashiria kuingia rasmi katika majira ya spring. Sherehe hii si ya kidini bali ni ya kiutamaduni au kidesturi zaidi.Sherehe hizi huambatana na watu kucheza kuuzunguka moto huo.valborg ilianzia nchini Ujerumani na baadae kusambaa katika nchi nyingine za Ulaya kama Sweden, Finland, Czech, Lithuania, Latvia, Estonia na Netherlands. Chini ni picha inayoonyesha jinsi moto unlivyowashwa.
TREVLIG VALBORG!
Tuesday 29 April 2014
MANUKATO TOFAUTI YA WANAWAKE
Manukato ambayo ninayaweka hapa baadhi nimewahi kutumia na mengine ninatumia hivyo ninajua uzuri wake.Kuna mengine nimepata sifa zake au yanatumiwa na baadhi ya marafiki zangu.Si vibaya na wewe msomaji ukajaribu huko uliko.
SKETI YAMTIA MASHAKANI POLISI KENYA
Afisaa mmoja wa polisi mwanamke nchini Kenya amepewa onyo kali kwa kuvalia sketi iliyokuwa imembana kiasi cha kuonyesha umbo lake.
Wakuu wake walichukua hatua ya kumuonya polisi huyo baada ya picha yake kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kupigiwa gumzo kubwa.
Alipigwa picha akiwa amevalia sketi yake fupi na yenye kumbana akiwa anashika doria katika eneo ambako mashindano ya magari yalikuwa yanafanyika eneo la Kati mwa Kenya.
Monday 28 April 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...