Wednesday 30 April 2014

LEO NI SIKU YA MKESHA WA WALPURGIS KATIKA BAADHI YA NCHI ULAYA

Leo ni siku ya mkesha wa Walpurgis au "valborg" kama ijulikanavyo hapa nchini Sweden. Walpurgis inatokana na jina la mwanamke Walpurga aliyekuwa mmisionari. Sherehe za "valborg" huambatana na uwashaji moto mkubwa kama kuashiria kuingia rasmi katika majira ya spring. Sherehe hii si ya kidini bali ni ya kiutamaduni  au kidesturi zaidi.Sherehe hizi huambatana na watu kucheza kuuzunguka moto huo.valborg ilianzia nchini Ujerumani na baadae kusambaa katika nchi nyingine za Ulaya kama Sweden, Finland, Czech, Lithuania, Latvia, Estonia na Netherlands. Chini ni picha inayoonyesha jinsi moto unlivyowashwa.



TREVLIG VALBORG!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...