Monday 28 April 2014

WIG STAND KWAKO MDAU MTUMIA WIGI

Wigi ni moja ya urembo mkubwa kwa wanawake ila sina uhakika kama kila mtumia wigi huwa analiweka wigi lake kama inavyotakiwa,Nina uhakika wengi wetu tukivua wigi tunaziweka sehemu zozote tu. Hii huharibu mwonekano wa wigi lako.Kwa wale ambao mlikuwa hamjui wigi zina standi zake maarufu kama wig stand. Wig stand zipo za aina tofauti.Kwa kupata ufahamu zaidi angalia picha zifuatazo: 




No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...