Monday 19 May 2014

DIAMOND MPAKA SASA AONGOZA KURA ZA BET KWA KUNDI LA WASANII WA AFRIKA


Msanii Nasibu Abdul alias 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014  akifuatiwa na Mafikizolo. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. 
Na jina la Diamond lipo katika kipengele "BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA" bofya tundu lenye jina lake kisha bofya "VOTE".
Kama ulikuwa hujapiga kura fanya hivyo sasa ili tuzo hii ije Tanzania! 

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...