Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la Marehemu Adam Philipo Kuambiana,muda mfupi baada ya shughuli za mazishi kukamilika.Jacob Steven 'JB',akiweka shada kwenye kaburi hilo.
Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kuambiana.
Mwili wa marehemu Kuambiana ukiwasili makuburini tayari kwa shughuli za kuusitiri.
Msanii wa filamu Richie Richie akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Kuambiana.
Mchungaji akiweka msalaba kwenye kaburi hilo.
Mke wa marehemu, Janeth Rithe,akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe.
JB,akiwa chini baada ya kuzidiwa na kudondoka wakati akitoa wasaa wa marehemu Adam Kuambiana.
Baadhi ya mabaunsa na wasanii wenzake wakimnyanyua JB,baada ya kuzidiwa na kudondoka chini.
No comments:
Post a Comment