Wednesday 7 May 2014

MENGI YAIBUKA YA KUTATANISHA JUU YA MKASA WA CHRISTINA!!

Msichana kanitibua huyu,mbona haeleweki?Atasababisha watu washindwe kuwasaidia wenye shida za ukweli.Sijui alikuwa hajui kama anaonekana katika runinga na vilevile alisahau kama kuna sehemu alikwenda kutapeli na kuwa wangeweza kumwona na kumtambua.Dah,kazi ipo hapa.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...