Wednesday 28 May 2014

MSHAIRI MASHUHURI NA MWANDISHI WA VITABU, MAYA ANGELOU KUTOKA MAREKANI,AFARIKI

Maya Angelou får en omfamning av Barack Obama efter att ha fått ”medal of Freedom”, 2010.
PICHA: Rais Barack Obama akimkumbatia Maya Angelou baada ya Maya kupata "medal of Freedom”, 2010.

Mshairi, Mwandishi  na mwanaharakati mashuhuri,Maya Angelou amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Habari hizi ni kwa mujibu wa kituo cha  WGHP-TV kutoka katika mji wa  Winston-Salem ambapo Maya anatokea.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...