VIAZI VYA KUCHEMSHA, MAINI YA KUKAANGA NA MBOGAMBOGA
Viazi viwili vya kuchemsha, 3/4 kikombe french beans (kiswahili chake nadhani maharagwe machanga) ambazo nimezichemsha dakika 5 tu nikachuja maji na kuweka siagi kidogo na chumvi.Maini ya ng'ombe ya kukaanga (nimetumia olive oil))na kitunguu maji,kitunguu saumu, tandoori masala kidogo na chumvi kuweka ladha.Ni mlo wa haraka lakini upo kamili.
No comments:
Post a Comment