Wednesday 7 May 2014

PICHA YA LEO:MVUA DAR NEEMA KWA VIJANA

Mvua zinazoendelea kunyesha Dar, mbali ya kuwa kero kwa wananchi wengi, zimekuwa ni neema kwa wengine. Vijana Kariakoo wamebuni mradi kwa kupanga mawe katika madimbwi ya mvua ili watu wanaotaka kuvuka bila ya kukanyaga maji walipe ushuru  kama inavyoonekana katika picha hapa chini.
KUISHI BONGO KUNAHITAJI BONGO!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...