Saturday, 24 May 2014
PITAPITA YA KAMERA YA RAINBOW-TZ JIJINI DAR ES SALAAM
Kituo cha mabasi yaendayo kasi eneo la Ubungo katika barabara ya Morogoro, Dar es salaam
Nyumba za shirika la nyumba Tanzania (NHC) eneo la Ubungo, zinavyoonekana baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa.
Maji yakiwa yametuama katika moja ya mtaa Temeke mwisho.Hali hii ni chanzo cha magonjwa mengi.Je,eneo hili kuna miundo mbinu ya maji taka kweli?
PICHA ZOTE: Rainbow-tz blog, Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment