Thursday 8 May 2014

TAHADHARI: UFAHAMU UGONJWA WA "DENGUE" NA DALILI ZAKE

Homa ya Dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virus vya ugonjwa huu. Mbu hupata virusi vya homa ya Dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu.



Ugonjwa huu unaenezwa kutoka mtu mmoja kwenda mwngine kwa kuumwa na mbu huyu.

DALILI

Homa kali ya ghafla
Kuumwa kichwa hususani sehemu za machoni
Maumivu makali ya viungo na misuli ya mwili
Kichefuchefu au kutapika
Kutokwa na damu kwenye fizi, na sehemu za uwazi za mwili.
Uchovu
ukimsikia ndugu au jamaa yako anasema kuwa na dalili hizi muwahishe hospitali mapema. 
SAMBAZA UJUMBE HUU ILI WATU WENGINE WAJUE 

credit: Globalpublishers

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...