Nyumba yako hata kama ni ndogo isiwe sababu ya kuwa na jiko lisiloeleweka.Tengenezamwonekano mzuri wa mazingira ya jiko lako kilingana na ukubwa wake.Si lazima uige kila kitu kutoka katika nyumba ya rafiki yako, au popote pale kwenye jiko kubwa na kuhamishia kwako kwenye jiko dogo.Jiko lako halitapendeza na badala yake litakuwa kituko.Angalia picha mbalimbali zikionyesha chumba cha jiko katika ukubwa tofauti.
Jiko kama hili linahitaji nafasi kubwa kidogo ili lipendeze kama inavyoonekana katika picha.
Jiko dogo linaweza kuwa hivi na kuvutia
Jiko hili linahitaji nafasi
Jiko dogo linaweza kuwa hivi na likapendeza sana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment