Umeshasikia kuhusu Saadani Park Hotel ? Hoteli hii imejengwa pembezoni mwa hifadhi ya Saadani ambayo ni hifadhi pekee duniani inayopakana na bahari.Hifadhi hii ni moja ya kivutio kinachofaa kutembelewa.Kwa maelezo zaidi ya gharama na jinsi ya kufika hapo ingia hapa: http://www.saadaniparkhotel.com/
Mazingira ya nje yanavyoonekana
Mwonekano wa vyumba kwa nje
Mwonekano kutoka kwenye baraza(balcony)
Mwonekano wa usiku
Restaurant na Bar
View ya bahari inavyoonekana
Mwonekano ndani ya chumba cha kulala
Chumba cha kulala
Usafiri
No comments:
Post a Comment