Friday, 20 June 2014

PICHA:KWA WAPENZI WA AQUARIUM

Kama kuna kitu kinavutia kuwa nacho nyumbani basi ni aquarium, na hasa ukiwa umepangilia vizuri rangi ya samaki pamoja na uoto ndani ya aquarium.Pamoja na kuleta mvuto ndani ya nyumba, aquarium inahitaji usafi
wa hali ya juu ili kulinda uhai wa samaki na kuleta mwonekano mzuri.
PICHA NA: Anna Nindi

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...