Friday 27 June 2014

THE BEDROOM: LEATHER BEDS

Tusidhani vitanda vizuri ni vya mbao peke yake,la hasha, hata vya ngozi au chuma ni vizuri pia,Uzuri wa kitandani unatokana na design yake.Blogu hii imejikita zaidi na upambaji wa nyumba,kuanzia mazingira ya nje mpaka ndani.Ingawa tumejikita vilevile katika urembo na mitindo kwani tunaamini kuwa urembo,mitindo na upambaji wa nyumba huenda pamoja.
Tuangalie aina tofauti za vitanda vya ngozi.Kama wewe ni mpenzi wa upambaji wa nyumba,endelea kutufuatilia kwani kuna mambo mazuri yanakuja siku za mbeleni!












No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...