Wednesday 16 July 2014

MTOTO AIBIWA LEO CHANGANYIKENI

Mtoto kaibiwa leo Changanyike anaitwa Marlyn atakaemuona anaombwa atoe taarifa katika kituo chochote cha Polisi, na mtu aliyemuiba mtoto ni mkaka kanyoa pank na baade akakodi boda boda.
Ukiona ujumbe huu sambaza kwa mwingine, na atakaemuona apige namba hii 
0786 888808.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...